| Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza la msanii Mabovu kutoka msikiti wa Mwangata kwenda makaburi ya Mlolo Iringa siku ya jana. |
| Msafara wa magari kuelekea makaburini. |
Mwili wa marehemu Mabovu ukiwekwa sawa kabla ya kuzikwa siku ya jana.
| Waombolezaji wakiuzika mwili wa Mabovu. |
| Msanii Joh Makini akiwa katika mazishi. |
| Wasanii mbalimbali wakiwa katika mazishi ya mabovu jana. |
| Bashiri akiongelea kifo cha Mabovu. |
| Watangazaji wa Radio Ebony Fm waliofika katika mazishi hayo jana. |
| Msanii Nurdin (kushoto) akiwa na Geofrey Ngelime wakati wa mazishi ya Mabovu. |
| Marafiki wa marehemu Mabovu wakiwa katika picha mara baada ya mazishi mwenye nguo nyekundi ni mtangazaji wa Ebony Fm Edo Bashiri, msanii DJ Nacy (wa tatu kulia) nina msanii Nurdin. |
| Marafiki na wasanii mbali mbali wakiweka chata zao katika kaburi ya Mabovu. |
| Wasanii wakiwa wamechora chata mbali mbali juu ya kaburi la Mabovu. |
| Baadhi ya wasanii wa kundi la Weusi ambao wamefika Iringa kumzika msanii Mabovu jana. |
Rapper Joh Makini akichangisha rambi rambi. |