Monday, November 3, 2014

TAZAMA HAPA PICHA ZA KAJALA ZILIZOZUA UTATA AKIWA ANAOGA. HIZI HAPA

Picha ya nusu utupu ya Msanii Kajala Masanja
aliyoiweka hivi karibuni katika mitandao ya kijamii
yazua utata na maneno mengi yakiibuka juu yake,
akiongea na Swahilitz mmoja wa mashabiki wa
Kajala alifunguka na kusema "Kusema ukweli
Kajala kajishushia heshima, ndiyo picha gani
aliyoweka mtandaoni, mimi kiukweli nampenda
sana ila kwa hilo kaniboa" alimaliza kwakusema
shabiki huyo.
Hata hivyo katika kufatilia suala hilo Swahilitz
ilipiga story na shabiki mwingine ambaye naye
alisema "Kajala sijui anatafuta soko la wanaume??
hii siyo picha kabisa ya kuweka mtandaoni
jamani" alifunguka shabiki huyo. Juhudi zetu za
kumtafuta Kajala afunguke juu ya hili suala
zinaendelea na pindi zikikamilia tutawafahamisha
kasemaje.