VIDEO INAYOONYESHA PALE AMBAPO SIMBA NA MAMBA WANAKUTANA USO KWA USO
Kama hujakutana na video hii Youtube, nimekuweka hapa ambapo Simba alikuwa katika harakati za kuvuka mto maeneo ya hifadhi ya taifa Kruger Afrika Kusini, kwa bahati mbaya Mamba alikuwa maeneo hayo, unajua nani alikuwa mbabe kwa mwenzake?Tazama video hii hapa.