DIAMOND APELEKA TUZO ZA CHANNEL O KWA JAKAYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' baada ya kumtembelea leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Diamond Platnumz alikuwenda na tuzo zake tano na kumuonyesha Rais Jakaya Kikwete.