Wednesday, December 17, 2014

HII NDIO GARI ANAYOMILIKI HUDDAH MONROE YENYE THAMANI YA MILLION 92..LICHEKI HAPA

Muhalaiki Huddah Monroe anaingia tena
kwenye headline baada ya kuonyesha
picha ya gari lake jipya aina ya Range
ambayo inathamani ya million 92 kupitia
mtandao wa kijamii wa Instagram na
aliandika hivi
“Ombea adui yako aishi siku nyingi . Ili unapo
barikiwa ajioneeeee!…. No one can block the
blessings that God has planned for you because
Who Jah bless , no man curse! This is a GIFT
from GOD! MY Aphrodisiac,My Dime Piece, my
Husband, . Christmas just came early! #Thankful!.
#RangeRover #Anon #SexOnWheels #Blessings
#BossChick!“– @huddahthebosschick