Wednesday, December 17, 2014

KAMA HUJABAHATIKA KUKUTANA NA NDALA ZINAZOUZWA NA JOKATE KIDOTI. HIZI HAPA

Mwanamitindo Jokate Mwegelo leo ameingiza
sokoni kandambili zenye Brand yake ya Kidoti,
zinaitwa ndala za kidoti, Ndala hizo za Jokate
zitakua zinapatikana kwenye baadhi ya
maduka kwa bei ya shilingi elfu kumi na tano
kwa pair,
Jokate ameandika kwenye account yake ya
Instagram kama ifuatavyo hapo chini
Samahani wadau hotline ya kupata ndala ni hii
hapa +255 713 743 898 kwa sasa . Asanteni
kwa maoni (yanafanyiwa kazi), upendo nk. Cc
@kidotiloving #NdalaZaKidoti #ChapaYaKidoti
#MoreToCome #Inshallah