Muigizaji wa filamu hapa nchini, Elizabeth Michael “Lulu” amefunguka kwa kuandika mtandaoni kuwa atabadilisha jina lake na kuitwa Luppy iwapo Happiness Watimanywa ambae ni Miss Tanzania mwaka 2013 anaeshiriki shindano la Miss World 2014 ataibuka mshindi wa taji hilo.Hiliamelisema mapema kabisa ili yasijemkamkuta kama yaliyomkuta baada ya kusemekana kuwa alitaka kujiweka kwa mshindi wa BBA 2014, Idris baada ya kuibuka mshindi.
1)kutoka AppStore au PlayStore Download app ya MISS WORLD
2)Kisha chagua Your Top3....Browse Contestants, mchague Happiness Watimanywa kutoka Tanzania na wengine wawili,kisha 3)bonyeza VOTE NOW“Mtanzania mwenzangu Kura Yako Ndo ushindi wa Happy Na Ushindi wa Happy ndo Kick Ya jina Langu Jipya...!” Lulu alimaliza.