Muonekano wa mahabusu aliyekuwa anatuhumiwa kubeba madawa ya kulevya, Abdul Koroma raia wa Sierra Leone baada ya kupigwa risasi.
MAHABUSU aliyekuwa anatuhumiwa kubeba madawa ya kulevya, Abdul Koroma raia wa Sierra Leone ameuawa kwa kupigwa risasi na Askari Magereza wakati akijaribu kutoroka katika eneo la Mahakama ya Kisutu jijini Dar leo!