PICHA: ASKARI WANUSURIKA KUUAWA KWA KUPIGWA NA BOMU!!
Kutoka SONGEA, askari waliokua doria katika mkesha wa x mass wamenusurika kufa baada ya mtu mmoja kujaribu kulipua bomu maeneo ya MAJENGO na hatimae kumlipukia na kufa papo hapo kabla ya kulirusha.
Wenzake walijitahidi kuutorosha mwili wake lakini POLISI wamefanikiwa kuudhibiti....mlipuko huo.
CDT:HAMZA JUMA