Picha za mabaki ya ndege ya AirAsia Flight QZ8501 ambayo ilipote hivi usiku wa kuamkia tarehe 28,
Mke wa Rubani kulia
Mabaki hayo ambayo yameonekana pwani ya Indonesia kwenye bahari picha zake hazikupigwa vizuri lakin shirika hilo lilinasa picha hizo kwa mbali kutoka juu ambapo kwenye picha hizo miili miwili inaonekana ikiwa inaelea juu ya maji
Tazama hapa chini picha za mabaki ya ndege hiyo