Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii wa Afrika watakaosikika kwenye wimbo wa pamoja wa kampeni ya kupinga ugonjwa wa Ebola ‘Africa Against Ebola‘ ambao ndani yake una wasanii kama Iyanya, Donald, Banky W, Kcee, Mafikizolo, Sean Tizzle na wengineo.
Hizi ni baadhi ya picha ambazo November 30 Diamond na Wasanii wa Afrika wameshoot video ya wimbo huo.