BINTI ALIYENYWESHWA POMBE NA KUFANYIWA KITU MBAYA NA PANYA ROAD
Picha Hii Kuanzania Jana inasambaa kwa Kasi sana Mtandaoni Ikiwa na maelezo kuwa ni Msichana Aliyenyeshwa Pombe na kufanyiwa kitu mbaya na Panya Road...Najiuliza Hao Panya Road Kumbe walikuwa wana nafasi ya kunywesha watu pombe na kuwafanyia kitu mbaya?