Baada ya kufanya kitendo hicho walichukua viungo walivyokata kutoka kwa mwenyekiti huyo na kisha kuvitia kwenye sifuria wakaweka maji na kisha kubandika kwenye moto na kuanza kuvipika.
Baada ya Tukio Hilo watu hao walitokomea sehemu isiyofahamika.
Polisi wilayani MLELE wanaendelelea na uchunguzi kubaini wahusika wa tukio Hilo.