Star wa Bongo Flaour Diamond Platnumz ametangaza rasmi kuwa mashabiki wake wakae tayari kwa ajili ya show yake kubwa ya "Diamonds are Forever"
Show ya "Diamonds are Forever" aliyoifanya kwa mara ya kwanza mwaka 2012 kwa namna moja au nyingine ndio iliyompa heshima aliyonayo kwasasa kwenye Music, Mbali na mafanikio makubwa aliyonayo kwasasa kimusic Diamond ndio msanii wa kwanza kuatake risk ya kufanya show yenye kiingilio kikubwa na kufanikiwa,
Tarehe rasmi ya show hiyo bado haijatajwa ila taarifa aliyoitoa hadi sasa ni kuwa Mashabiki wajiandae kwa show kubwa kutoka kwa mshindi wa Tuzo tatu za Channel O