HUU NDIYO USHAURI ALIOPEWA DIAMOND HUKO NIGERIA KUHUSU NGOMA YAKE YA MDOGO MDOGO!
Mtangazaji wa Kituo cha runinga cha Sound city cha Nigeria, Vj Adams amemshauri Diamond kufanya remix ya hit song yak eya sasa mdogo mdogo aka kitorondo kwa kuwashirikisha wasanii Wizkid na Timaya wa kutoka nchini humo.
Ukiwa kama mdau wa muziki wa Bongo Fleva unaionaje hii idea, iko poa au Diamond aipotezee?! Toa maoni yako hapo chini tafadhali!