Tuesday, January 13, 2015

VIJANA WAZUNGUMZIA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Msanii Kala Jeremiah akiwa kwenye pozi baada ya kuzungumzia Mapinduzi ya Zanzibar.
KIWA leo ni sherehe ya maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar, baadhi ya vijana katika jiji la Dar es Salaam wametoa maoni yao kuhusu sherehe hizo.
Msanii wa muziki Kala Jeremiah ni miongoni mwao ambapo alisema: “Mapinduzi hayo ni sherehe ambayo inatukumbusha jitihada walizofanya viongozi wetu kwa kuikomboa Zanzibar kutoka kwa watawala wan je lakini pia tuikumbuke kwa matendo na si kwa maneno.”