haya sasa mahaba niuwe nimalize na unininginize
labisa iwiih, wapi king crazy gk mume wa diva,
jamany ustaa kazi, he u assume mwanadada diva
ndio angekuwa mchumba wako wew halafu
anapiga picha kama hiyo akapigwa busu la
shavuni na yeye mwenyew kuanza kuisambaza
kwenye mitandao kiukweli, kama ni mwanaume
rijali lazima itakuuma, but to them kwa mastaa wa
bongo hichi kitu ni jambo la kawaida wenyew
husemaga eti ni freindship kiss nin? Haya kweli
ustaa kazi, sema nini ndo hivyo tena.