Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi kadhaa wa chuo Kikuu UDOM kwa tuhuma za kuhamasisha uvunifu wa amani Chuoni na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo Dodoma kutokana na vurugu hizo zilisababisha baadhi ya wanafunzi kupata majeraha mbali mbali kutokana na kukwepa vyombo vya dola na kukimbilia hovyo hovyo na kupelekea kijana huyo pichani ambaye hatukuweza kupata jina lake kuvunjika mguu |