Akisimulia tukio hilo mwanamke huyo amesema aliondoka nyumbani hapo baada ya kutokuwa na maelewano na mume wake ambaye alimpiga mtoto, muda mfupi baadaye majirani wakamuita kwamba mume wake anachoma moto nguo zake.
Mwanaume huyo alipoulizwa sababu ya kufanya tukio hilo hakutaka kujibu zaidi ya kusema mke wake anajua sababu ya yeye kuchoma moto nguo hizo.
Kaka wa mwanamke walishirikiana na dada yake kumpeleka mwanaume huyo kituo cha Polisi.