Antonella Rocuzzo mpenzi wa mshambuliaji nyota wa barcelona Lionel Messi ameonyesha tatuu mpya ya mpenzi wake huyo amabayo alikuwa katika harakati ya kuikamilisha katika mguu wake .
Antonella ambaye amezaa mtoto mmoja na messi, aliitupia picha hiyo kwenye mtandao wa Istagram