NAIBU WAZIRI WA MIUNDO MBINU ISSA GAVU AFUNGUA MTAMBO WA KUSAFISHIA MAJI UZING'AMBWA
Naibu Waziri wa Miundo mbinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi(Gavu)akifungua kitambaa kama ishara ya Ufunguzi wa mtambo wakubadilishia maji kutoka kwenye chumvi na kuwa safi na salama huko UziNg'ambwa Wilaya ya kati Unguja ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho yamiaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Naibu Waziri wa Miundo mbinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi(Gavu)akikinga Maji yaliobadilishwa kutoka kwenye chumvi na kuwa safi nasalama baada ya kufungua huko Uzi Ng'ambwa Wilaya ya kati Unguja ikiwani shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar. Wananchi mbalimbali wakinywa maji yaliobadilishwa kutoka kwenye chumvina kuwa safi na salama baada ya kufunguliwa huko Uzi Ng'ambwa Wilaya yakati Unguja ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51yaMapinduzi ya Zanzibar. Naibu Waziri wa Miundo mbinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi(Gavu)akitoa hotuba wakati alipofungua mtambo wa kubadilishia majikutoka kwenye chumvi na kuwa safi na salama Uzi Ng'ambwa Wilaya ya katiUnguja ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi yaZanzibar.kulia yake nimuakilishi wa Taasisi ya Mork Water Solution yaUjarumani Mikalen na kushoto yake ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini IdrissMuhsin Hijja.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.