Monday, January 5, 2015

PANYA ROAD 510 WAKAMATWA NA POLISI JIJINI


Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam linawashikilia vijana 510 wa kikundi cha uhalifu linachojiita panya Road wakiwemo viongozi watatu wa kikundi hicho, kufuatia uhalifu, hofu na taharuki waliyosababisha siku ya Ijumaa katika maeneo mbalimbali jijini Dar es salaam.

Una maoni gani juu ya hatua hii ya Jeshi la polisi na unapendekeza wapewe adhabu gani?