PICHA YA MWANAMKE ANAYEJUTIA MWILI WAKE:MAVAZI YAKE MENGI NI MASHUKA TU:
Pamoja na mazoezi anayofanya na dayati lakini bado mwili wake hauna dalili yeyote ile ya kupungua. anahitaji msaada wako wa kimawazo ili na yeye awe anafurahiya mwili wake; mavazi yake yamekuwa ni tabu sana kutwa nzima ni yeye na mashuka tu;