Wednesday, January 7, 2015

SASA BIFU LA DAVIDO NA DIAMOND LAFIKIA PABAYA... WAPEANA MAKAVU LAIVU LAIVU KWENYE MITANDAO

Davido ttt

Ikiwa bado ni asubuhi kabisa yaani wiki ya kwanza ya 2015, lakini inavyoonekana kuna mtu kagusa ‘wrong note’ kwenye gitaa la bwana David Adedeji Adeleke a.k.a Davido, hivyo ameamua kumtolea uvivu!


Muimbaji huyo wa Nigeria ambaye yupo Dubai na familia kwaajili ya mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka, ametumia Twitter kutoa hasira zake kwa mtu ambaye hakumtaja kwa jina, kwa kuandika “Niggas forget who helped them So quick God don bless me I do my thing dey go keep my name out ur mouth !! WHO U DON HELP IDIOT! Ur downfall is coming u bastard ungrateful broke fool.’… “ 
Hizi ndio tweet zake: davido tweets