Natumaini hakuna asiye mfahamu mwigizaji huyu maarufu hapa Tz, mara kwa mara amekuwa na skendo za hapa na pale huku magazeti yakimwandika kila kukicha.. lakini hilo si ambalo sana nataka kulizungumzia hapa.
Mara nyingine wolper anataka kick ama anataka aandikwe kwenye vyombo vya habari. Kipindi kidogo kimepita masanii huyu alikubwa na skendo mbaya ya usagaji na ikapelekea vyombo vya habari kukutana naye na kumuhoji juu ya swala hilo. Lakini kinyume na hapo wolper alikataa na kukana kuwa si msagaji.....
|