Ile couple inayozungumziwa na wengi East Africa, ya msanii Diamond Platnumz na Zarina Hassan aka Zari the Bosslady bado yako mengi, mitandaoni, kwenye vyombo vya habari kuhusu wao.
Story kubwa jana na leo ilikuwa picha aliyoiweka Diamond kwenye ukurasa wake wa Instagram, halafu akaweka na ujumbe kwamba anatarajia kuwa baba!
Staa mkubwa wa Muziki anayewakilisha Uganda, Jose Chameleone ameongea mambo mawili kuhusu Diamond.
Kuhusu uhusiano wa Zari na Diamond, Chameleone amesema haoni ubaya kwenye uhusiano huo kwa kuwa wawili hao tayari wamependana; “they love each other… there’s no problem.. they love each other and that’s what people dies to have in life… Diamond isn’t married… Zari she is not married, having previous relationship doesn’t hind her from having the next relationship. I mean if they love each other what’s the problem…?”
Alipoulizwa kuhusu muziki wa Diamond, Chameleone amesema ni vizuri East Africa kuwa na wasanii wazuri kama Diamond; “he is also another good artist and the more we have more numbers of good artists we have in East Africa, the more wider we go…”
Unaweza kubonyeza play hapa kuangalia Interview hiyo niliyokuletea kutoka ghafla.com.