Thursday, January 1, 2015

SHINDANO LA KUMTAFUTA MREMBO MWENYE HIPS KUBWA LAMALIZIKA HUKO NIGERIA!!


Ijeoma Nnaj-Mshindi

Hili ni shindano lingine tena linalo husisha wadada wenye maumbo yao.....Wadada walio Jazia Jazia huko Nigeria. Shindano hili lilifanyika usiku wa Jana katika Hotel ya Federal Palace Hotel & Casino.Na mtoto Ijeoma Nnaji akitokea Kano State ndio alieibuka mshindi....ambae amejinyakulia brand new car...
Hii inabidi ije na HAPA BONGO!!!