Friday, January 30, 2015

TAZAMA MWONEKANO WA LULU AKIWA HAJAPIGA MEKAPU... MSAMINISHE BASI

Hakuna Make up,360,wala Filter wala
weaving...kuna miwani tu tena Ya Buku kadhaa
(Nimesahau) Na MINYOOSHO Flani amaizing what
do you say abt her, maana tumezoea kumuona
mwanadada huyu akiwa amejipaka mamakeup na
kujitwisha mawigi tele, haya wadau huu ndo mda
wenu wa kumaliza utata, je vp bado analipa? Na je
kwa muonekano huo anafaa kweli kulipwa Tsh
milion15 kwa kazi ya kuact bongo movie? Jibu
unalo mwenyew? Haya tia neno mdau