Friday, January 30, 2015

TAZAMA PICHA WEMA ABADILI STAILI YA NYWELE KUENDANA NA USHINDANI WA KINA ZARI

wema sepetu she is among the most beautiful
women in Tanzania, na ndiye msichana ambaye
ameweza kulast since mwaka 2006 alivyoshinda u
Miss Tanzania, mwanadada huyo amekuwa ni
miongoni mwa realmodel mwa wananchi wengi wa
Tanzania pamoja na east Africa kiujumla, mara
nyingi tumezoea kumuona mwanadada huyo akiwa
anabadilikabadilika na different style of hair, mara
ananyoa upara, mara minyoosho mara mawigi ya
brazilian? But this tym ameamua kuja na style
yake ya kimkia hya wadau, huenda this stule
ilikuwepo tokea zamani? But as long as ameisuka
wema, huenda mashabiki wa msanii huyo
wanaweza wakaipa jina la wema sepetu, ukiwa
kama mdau wa makubwahayablog unasemaje
kuhusiana na style hiyo..