Friday, January 2, 2015

UTATA: UJAUZITO WA AUNTY EZEKIEL NI WA HUYU JAMAA!


Kwa miaka ya nyuma uliwahi kusikia kwamba Msanii wa bongo movie Aunty Ezekiel aliwahi kulala na Mose Iyobo ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz sasa kwa taarifa zilizopo ni kwamba ndie mmiliki wa mimba ya Aunty Ezekie, Mose Iyobo

Kupitia instagrm ya Mose Iyobo alipost picha hii hapa chini na kuandika hivi

‘Lazima tujifunze kutofautisha kati ya kitambi na mimba lakini hapa kuna utata…..mimi ni mmoja kati ya wasio elewa hiki ni nini….au wewe ulikuwa unaonaje hiki ni kitambi au mimba….. na kama hii ni mimba basi congratulation to my beib. …….AEZKL’