Tuesday, January 6, 2015

VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA WAAPISHWA DAR

Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Mussa Natty, akiongea na wanahabari katika hotel ya Landmark Ubungo jijini Dar leo.
Baadhi ya wenyeviti wa mitaa ya Kinondoni wakila kiapo leo katika hotel ya Landmark.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Mussa Natty, akiongea na viongozi hao.
Wenyeviti wa mitaa ya Kinondoni wakijadili jambo kabla ya kikao hicho.