WAZIRI MKUU MIZENGO AMESEMA YEYE SIO TAJIRI KWANI ANAKAA KWENYE KIJUMBA KIBAYA NA AMEWAPONDA WANAOSEMA KUWA HANA MAAMUZI MAGUMU NA AMEZOEA KULILIA
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiongea mkoani katavi, amesema yeye sio tajiri kwani kama angekuwa tajiri asingekaa kwenye kajumba kabaya kama alichonacho. Pia amewaponda wale wanaosema kuwa hana maamuzi magumu na amezoea kulilia.
Msikie mwenyewe kwenye audio hapa juu kama kifaa chako kinauwezo na utupe maoni yako
chanzo: East Africa Radio