Thursday, January 1, 2015

WEMA AFANYA SHOO YA FUNGA MWAKA MATEI LOUNGE DODOMA

Staa wa Bongo, Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye'  akiongea na mashabiki wake (hawapo pichani) waliofika katika shoo yake ya funga mwaka usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Matei Lounge Dodoma.
Sehemu ya umati wa watu waliojitokeza Ukumbi wa Matei Lounge Dodoma.
Msanii wa Bongo Fleva anayesimamiwa na Wema Sepetu kupitia Endless Fame 'Mirror' akifanya yake.
Wema  Sepetu (katikati)  akicheza na wasanii wake.
Mmoja wa wasanii chipukizi (kushoto) wa Dodoma akiongea na Wema wakati wa kusaka vipaji.
Staa wa sinema Bongo, Aunt Ezekiel akiwa amemshika mkono Petit Man (kulia) ambaye ni mfanyakazi wa Wema Sepetu.