ENJOY NA HII YA ZOEZI LA NGUVU ANALOPIGA BABU WA MIAKA 90.. (PICHAZ+VIDEO)
Kama una time asubuhi au jioni inashauriwa kwamba mazoezi ni muhimu kwa afya, nakupa hii sasa ya huyu mzee ambaye umri wake ni miaka 90 na hapa yuko zake anapiga mazoezi yani kama kawaida.