Tuesday, February 10, 2015

JB AJIBU MASWALI YA MASHABIKI WAKE WANAOMTAKA AIWAKILISHE TANZANIA BONGO MOVIE KITANZANIA


jana nilikuwa najibu maswali ya wadau wa
jerusalem.wengi wanapenda kuniona
kimataifa.niliahidi kulijibu leo...ndugu
zangu kwanza nashukuru kwa kuniona
nafaa kuwawakilisha kimataifa.lakini
mwenzenu umri umekwenda.kitaalamu umri
mzuri wa kuanza utafutaji ni20-35.nina
zaidi ya 40.nguvu zimepungua.ndio maana
akili yangu naiweka zaidi kuwa producer
kupitia jerusalem zaidi kuliko kuigiza.ndoto
zangu ni kuifanya kampuni hii iwe kubwa
africa.na hao waigizaji wa nje watamani
kufanya kazi nasi.lengo ni filam yetu moja
kuuzwa zaidi ya bilion1.inawezekana kwa
sababu soko lipo.mchakato umeshaanza
subirini.soko halitafutwi
linajengwa.tuamke,tusifikiri kikawaida
tufikiri tofauti.in jesus name.