Akizitaja shule kumi bora kwa ufaulu, Dkt Msonde amesema shule hizo ni:
- Kaizirege mkoa wa Kagera
- Mwanza Alliance mkoa wa Mwanza
- Marian Boys mkoa wa Pwani
- St. Francis Girls mkoa wa Mbeya
- Abbey mkoa wa Mtwara
- Feza Girls mkoa wa Dar es salaam
- Bethel sabs Girls mkoa wa Iringa
- Marian Girls mkoa wa Pwani
- Feza Boys mkoa wa Dar es laam.
- Shule 10 za mwisho ni:
- Manolo mkoa wa Tanga
- Chokocho mkoa wa Pemba
- Kwalugulu mkoa wa Tanga
- Relini mkoa wa Dar es salaam
- Mashindei mkoa wa Tanga
- Njelekela Islamic Seminary mkoa wa Kigoma
- Vudee mkoa wa Kilimanjaro
- Mnazi mkoa wa Tanga
- Ruhembe mkoa wa Morogoro
- Magoma mkoa wa Tanga.