Tuesday, February 24, 2015

PICHA ZAIDI:YAMOTO BAND WAPIGA BONGE LA SHOW HUKO UK LONDON KATIKA UKUMBI WA ROYAL REGENCY

Yamoto Band wakifanya yao.
Aslay akiwachengua mashabiki waliohudhulia katika shoo hiyo.
Mashabiki wa Yamoto Band waishio nchini Uingereza wakiwa katika burudani hiyo.

Wakipiga picha na mashabiki waliohudhulia shoo hiyo.