Tukiwa tunaendelea na shamra shamra za kuadhimishwa miaka 38 ya CCM yanayofanyika kitaifa mkoani Songea ktk uwanja wa Majimaji na mgeni rasmi akiwa prof. Jakaya Mrisho Kikwete, Umati wa watu uliofurika uwanjani hapo maelfu ya watu yameibuka na shangwe na miruzi pale JK alipo sema "hakuna mwanamziki mkubwa AFRIKA kama DIAMOND PLATNUMZ".
Je Unakubaliana na Kauli ya Prof Kikwete ?