Katika Mahojiano kwenye Kipindi cha Mkasi TV Salama alimrishia Swali Ben Pol Kuhusu Kuwahi Kutumia Bangi ..
Ishu ya kutumia bangi je? “Pale kwenye maisha ya form five na six niliwahi kujaribu, sasa hivi situmii kilevi chochote.. sivuti sinywi…” By Ben Pol