Thursday, February 12, 2015

WEMA SEPETU ATONGOZWA LAIVU HUKO INSTAGRAM, JE WATAKA KUMJUA NI NANI HEBU SOMA HAPA

Wema SepetuKatika Hali isiyotarajiwa na watu wengi ni Hii ishu ya BIKIRA WA KISUKUMA kujitokeza Hadharani na Kumtongoza WEMA SEPETU kwa kumuandikia Maneno mazuri yenye Mvuto wa Mahaba ya Ukweli kabisa Kutoka Moyoni Mwake.
Sitaki Niongeze neno wala Kupunguza Hebu Jisomee mwenyewe hapa Halafu Niambie Unahisi anaweza Kukubaliwa? Kwani kwa Sasa MADAM inasemekana anatoka na Msanii Mkali wa Bongo fleva Kutoka kule kule Mwisho wa Reli KIGOMA.
Wema Sepetu na Bikira wa kisukuma
WEMA NA BIKIRA WA KISUKUMA
BIKIRA WA KISUMKUMA AMEANDIKA HIVI "Unajua nakupenda na hawa wengine wanashindwa kukuelewa na kukupatia, Nipe nafasi mimi nikuonyeshe nini maana ya HUBA LA KISUKUMA nakuomba, sitakugeuza Project wala Programme, ntakupa zawadi ya boti kwenye Birthday yako mwaka huu, Nataka niingie In Your Shoes nishibe harufu ya viatu vyako na kuenjoy ladha ya unyayo wako"