Thursday, February 12, 2015

UKITAKA KUJUA MKOROGO NI NOMA MCHEKI HUYU JAMAA

Mwanaume huyu anayeitwa Pela Tonye Okiemute
ni maarufu sana huku Nigeria kwa kazi yake
anayoifanya ya kutengeneza Mikorogo ya
kujichubua ngozi hasa kwa wanawake , Wenyewe
wanamwita "King of Beauty", Wateja wake
wakubwa ni Wasanii wakubwa na Wanawake
wanaojiita
Socialite kama kina Agness Masogange na Vera
Sidika, yeye mwenyewe amejichubua vya kutosha
kiasi kwamba kama ulikuwa unamjua zamani kwa
sasa uwezi kumtambua , Pale Ameshare picha
zake alivyokuwa zamani ujionee jinsi mkorogo
ulivyombadilisha:
Despite serious backlash online against skin
bleaching and lightening, based on the comments
and testimonials on his instagram page
@pelsinternational, it is obvious that there is a
long list of potential clients who want the same
skin results.