Thursday, February 12, 2015

MIMBA YA WEMA SEPETU YAANZA KUONEKANA .. TAZAMA PICHA HAPA

haya sasa yasemekana nae wema sepetu wa
sepetunga naye ni mjamzito makubwa haya, i was
so shocked after seeing one among the the big fun
of wemasepetu in instagram after posting the
photos za wema sepetu huku akiwa wema
wamemshikilia tumbo ikiwa ni kama ishara yakuwa
mimba inakuwa, kitendo hicho kiliwashtusha
mashabiki wengi wa diamond the platnum,zari
pamoja na wa wema, chakushangaza mpaka dakika
hii wema mwenyew hajasema chochote kuhusiana
na hilo na wala hajaconfirm kama ana mimba, na
mimba hiyo ni ya nani? Is it drama au project
nobody knows let us wait n see...