Monday, March 23, 2015

MADHARA YA MVUA KATIKA ENEO LA BAMAGA JIJINI DAR

Magari yakipita kwa tabu kwenye Barabara ya Shekilango eneo la Bamaga jijini Dar jana jioni.
Hali ilivyokuwa katika eneo la mataa ya Bamaga, Mwenge.
Maji yakiwa yameziba barabara katika eneo la Bamaga.
Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam jana zilishababisha usumbufu kwa madereva wa magari na wakazi wa jiji hilo kama inavyoonekana kwenye eneo la Bamaga-Mwenge ambapo magari yalikuwa yakipita kwa tabu huku wananchi wakipata tabu kutokana na kituo cha abiria eneo la Chuo cha Ustawi wa Jamii kujaa maji hivyo kulazimika kusubiri magari kwenye kona ya kuelekea barabara ya Shekilango eneo la Bamaga