Mwimbaji Nay wa Mitego ametimiza ahadi
aliyosema kuwa atapima DNA kujua kama kweli
mtoto aliyezaa na Siwema ni wake ama la baada
ya Siwema kudai kuwa mtoto huyo si wake bali ni
wa Obasanjo....
Nay wa Mitego amehabarisha kuwa Amepima
DNA kwa Mwanakemia mkuu na Kuambiwa kuwa
majibu yatatoka mwezi wa nne tarehe 8 ......