March 29 ni siku ya pili tangu Mkurugenzi na Mwanzilishi wa kundi la bongofleva Tip Top Connection Abdul Bonge afariki dunia, maskani Tip Top mastaa kadhaa wa Tanzania wamefika kwa ajili ya kutoa pole.
Ni pamoja na Diamond Platnumz, Nay wa Mitego, Pnc, Jb wa Bongo Movie, Khadija Kopa, Producer Master J, Lamar, Shetta, Chegge, Hakeem 5, Kitale, Shilole wengine.
Babu Tale ambaye ni mdogo wa Abdul Bonge amesema walikua wanasubiri taratibu za kiserekali kwa ajili ya uchunguzi wa mwili wa marehemu kisha wataenda kumzika kwao Morogoro.

Shetta na Chege

Mameneja Mkubwa Fella na Bab Tale

Khadija Kopa

Diamond na Nay wa Mitego

Kerry Swai na Mkubwa Fella

Lamar na Master J

Tale na Msami

Shilole

Nay wa Mitego na Z Anto.