Saturday, March 28, 2015

VIDEO:NIMEZIWEKA PAMOJA TRAILER ZA FILAMU YA WEMA SEPETU NA VAN VICKER,ITAZAME HAPA

Wema na Van
Filamu iliyotayarishwa nchini Ghana nakushirikisha msanii wa filamu kutoka Tanzania Wema Sepetu na Muigizaji Van Vicker kutoka Ghana imekamilika na hii ndio trailer yake.
Filamu hii inaitwa ‘Day After Death’ D.A.D Imeongozwa na Van Vicker kupitia kampuni ya Sky + Orange Productions pamoja na Endless Fame Production.