
Gari lililokuwa limebeba wanachama wa Simba SC maarufu Simba Ukawa, ambao wanadaiwa kuwa wapinzani wa uongozi uliopo madarakani chini ya Rais, Evans Aveva wakiwa njiani imepata ajali eneo la Morogoro kuelekea Shinyanga ambako timu yao kesho inamenyana na Kagera Sugar katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Taarifa za awali zinasema watu tisa wamepoteza maisha maisha katika ajali hiyo.
![]() |
Wanachama wa Simba SC wakiwa wenye majonzi ajalini |
![]() |
Askari wa jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani, akichukua taarifa za ajali |
![]() |
Gari lililopata ajali baada ya kuinuliwa |