Kutoka Dar es Salaam leo April 28 2015 kingine ambacho kimechukua nafasi kubwa kwenye HEADLINES ni hii stori ya uzinduzi wa Meli kubwa mbili za Kivita ambazo zimezinduliwa na Rais Kikwete.
Meli zimekabidhiwa kwa Kikosi cha Jeshi la Maji TZ Kigamboni.. Hapa unaweza kuona pichaz kutoka kwenye uzinduzi wa Meli hizo.
Meli hizi zitakuwa zikitumiwa kwenye patrol katika eneo la Bahari.
Picha zote kutoka: issamichuzi.blogspot.com na tanzaniangovernment.blogspot.com.