KUMEKUCHA: MKE WA SHETTAH ALIKATAA GARI ALILONUNULIWA NA MMEWE KAMA ZAWADI
unaambiwa baada ya skendo ya msanii shettah kutoka na rose ndauka mke wa shettah aliamua kufunga virago na kurejea makwao, msanii shettah anadai amelikataa na gari ambalo amemnunulia kama zawadi kwa pesa nyingi sana