Saturday, April 11, 2015

Labda ukiitazama hii video ya Shamsa utajua ni Yes au No kwa mapenzini na Nay wa Mitego

Shamsa 1Shamza ni mwigizaji kwenye bongo movie ambapo alipita kwenye studio za TZA ambako ni makao makuu ya AyoTV na millardayo.com na kuweka wazi ukweli wote kwenye upande wake kuhusu picha zilizosambaa akiwa mapenzini na staa wa bongofleva Nay wa Mitego.
Kwenye hii video ya AyoTV hapa chini utakutana na majibu yote ya Shamsa.